Document Preview
Unlock Full Document & Resource Library
Join thousands of Ugandan students and educators accessing verified academic materials, past papers, and syllabi.
100% Free Downloads
Verified Quality Papers
All Academic Levels
No credit card required. StudyUganda is supported by partnering educational institutions.
Tags & Categories
Content Preview
377 words
1 mkubwa sana katika maisha ya mwanadamu Maswali 1) Kamilisha kwa kutia jibu sahihi a) Taja se hemu ambayo wanafunzi hupewa elimu b) Mahali ambapo watu huenda kuabudu huitwaje? c) Ni mahali papi ambapo wahalifu hupelekwa ili wahukimiwe d) Kituo cha polisi kina manufaa gani e) Wagonjwa hutibiwa mahali gani? DIRA (COMPASS DIRECTION) Dira ni mwelekeo wa dunia amb ao huwaongoza watu katika mizunguko yao ya huku na kule. Mfano ni Kaskazini, kusini, katikati, magharibi, na mashariki. Maswali 2) Kwa kutumia msaada wa ramani ya Uganda na dira , taja wilaya zozote tatu ziliko a) Kaskazini mwa Uganda b) Kusini wa Uganda c) Magharibi ya Uganda d) Mashariki mwa Uganda e) Katikati mwa Uganda Sarufi (Grammar) KITENZI (verb) Kitenzi ni neno linalosimamia kitendo Kitenzi halisi Hivi ni vitenzi vinavyorejelea kitendo moja kwa moja . kwa mfano. Soma , kula, kuja, enda KIDATO CHA KWANZA KISWAHIL HOLIDAY WORK (KAZI YA LIKIZO) JAMII (COMMUNITY) Jamii yetu huwa ikijumuisha sehemu mbakimbali ambazo zinz umuhimu 2 Mfano kwa sentensi Mama atapikia wageni chakula Mtoto anasoma kitabu Vitenzi visaidizi. Hivi hutangulia vitenzi halisi . kwa mfano : kuwa, ilhali, angali Mfano kwa sentensi Mama alikua analala asubuhi MASWALI 3)Kwa kutumia vitenzi hivi ulivyopewa, tunga sentensi mwafaka a) Andika b) Kuwa c) Endesha d) Ngali e) Pika UAFIKISHAJI ( punctuation) MASWALI 4)Taja jinsi vituo vifuatayo hutumika na utunge sentensi kuonyesha kila kituo a) Nukta Kiungo b) Nuktapacha Apostrofi c) Mkato Nuktatakatishi d) Mshangao Kinyota e) Kiulizi f) Mabano g) Mnukuo h) Deshi 5)Andika insha fupi kuhusu mahali ulikowahi kuzuru. Tumia maneno 180 3 HESABU( NUMBERS) SWALI 6) Andika 0 -1000 kwa lugha ya Kiswahili 7) Andika alama zifuatayo Alama za Kiswahili - Alama ya kuondoa Alama ya kujumlisha Alama ya kugawanya Alama ya mlinganyo Miezi ya mwaka( months) 8) Andika miezi za mwaka kwa Kiswahili SAA …
About This Document
S.1 Kiswahilli Test 2 Caltec S.1, published by Caltec Academy, is an educational document on StudyUganda.com covering Caltec Academy, ExamType Continuous Assessment, S1 Class. This resource includes: "1 mkubwa sana katika maisha ya mwanadamu Maswali 1) Kamilisha kwa kutia jibu sahihi a) Taja se hemu ambayo wanafunzi hupewa elimu b) Mahali ambapo ……" (Format: PDF) — 239.19 KB, 3 pages. Added July 5, 2026.
Content Typeapplication/pdf
Attachment
Not available
Doc ID#219680
SHA-256 Integrity Hash
e8ffe611d85e02fca4e8454d14ab1d6f0f8b348dd1bf4916a155fd8dd683cb69